anash muziki mauongo şarkı sözleri
What do you want from me
Tell me now everything you need
Coz i gave you all my love and my trust
But you didn't give it to me
You're so confident
Standing there
Asking me for another chance
Mimi sina ubaya weh
Nimechoka kukupenda
Juu unanidanganya
Ukisema unanipenda
Na najua umechoka
Ndio maana unanilenga
Ni mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mmm mmm mmm mmm mmm
Naskia siku hizi uko na mwingine
Anakuita mpenzi
Na hata ukisema bado unanienzi
Kwako mi sirudi
Juu unanidanganya
Ukisema unanipenda
Na najua umechoka
Ndio maana unanilenga
Juu unanidanganya
Ukisema unanipenda nipenda
Na najua umechoka
Ndio maana unanilenga
Ni Mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mauongo
Unanidanganya
Mbona unanidanganya
All along I was true to you
I wish I knew ni mauongo
Ni mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo
Mau mau mau mauongo

