angélique kidjo jambo şarkı sözleri

Hey, this is a song from Kenya In the language of Swahili from Africa Hello mister, hello sister No problem, no worries Oh, yeah Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata Jambo, jambo bwana Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Jambo, jambo dada Habari gani? Mzuri sana Wageni, mwakaribishwa Nyumba yetu, hakuna matata Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata Tujenge pamoja, hakuna matata Amani kwa dunia, hakuna matata Uhuru na undugu, hakuna matata Afya na shupavu, hakuna matata Harambe sawa sawa, hakuna matata Vile nakupenda, hakuna matata Kila siku ubarikiwe, hakuna matata Sasa watu wetu wote, hakuna matata Furaha na baraha, hakuna matata Hakuna matata, hakuna matata
Sanatçı: Angélique Kidjo
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:19
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Angélique Kidjo hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı