atan (flybaits) do salale (feat. chino kidd) şarkı sözleri
Ehehehee!
BeachBoi
Na Chino Wana man
Acha niunge telaa
Japo wako kibati maseeela
Wacha niunge tela
Mbona nikijisachi nina hela
Aweeeh
unapindaje mugongo hivyoo
Mmmh
Unavyo ringa
kwa madoiidooo
Aiih
Uno la twanga la musondo
Mmh
Loketo bhina Ka mukongo
Mmh
Asa Do Salaaale
Do Salaleee
Do salale
Mmh
Asa Do Salaaale
Do Salaleee
Do salale
Eeeeeeh Eeh
Panda juu ya meza
Sio hivyo
Sio hivyo
Vua shati
Sio hivyo
Sio hivyo
Yumba ka unacheza
sio hivyo
Sio hivyo
Onyesha Boxer
Sio hivyo
Sio hivyo
Do salale
Do salale
Do salale
Mmh
Asa Do salale
Do salale
Do salale
Eh
Kaunga tela
Ishuuu
Chino wana man kaunga tela
Ah Na Chino wana man
Lito santana
Chinoo
Hadi DogyB Kaunga tela
Aah aaah
Unavyoshuka mpaka chini
Utanifanya mi nipate Murder case
Mana Huo uzuri wako
Nivute nije kwako
Ukiwa na mi
No No No stress
Unani drive my mind
Fanya kama jana
Hiyo michezo mi Nafika upesi
Yani kama chizi mi Nabaki sina say
Kila unachosema mi najibu tu yes!
We si ndio pili pili pili pili
Nichanganye akili kili kili kili kili
Nibaki kiwili wili wili wili
Ili tuishi wawili wili wili wili
Aaaaah chuuu
Unavyo cheza kwa madolido
Uno la twanga la musondo
Loketo bhina pa mukongo
Aaaah yaaah chinoo
Do salale
Do salale
Do salale
Mmh
Asa Do salale
Do salale
Do salale
Eeeh yeah
Panda juu ya meza
Sio hivyo
Sio hivyo
Vua shati
Sio hivyo
Sio hivyo
Yumba ka Unacheza
Sio hivyo
Sio hivyo
Onyesha boxer
Sio hivyo
Sio hivyo

