Augustino Mtaningu

Augustino Mtaningu - Baba Ahsante (Official Audio) (Special Version)

augustino mtaningu augustino mtaningu - baba ahsante (official audio) (special version) şarkı sözleri

Ee Baba! Baba Baba ahsante Ndani yangu nakuona Kwa kinywa changu Yako nayanena Rehema na wokovu Mbele naviona Ahsante kwa hii nguvu Maumivu haya ni ubinadamu Nitulize kwa yako damu Sina muda wa hofu Natambua upo karibu yangu Hata kama sikuoni Neema yako yanishuhudia Usiwe na Kikomo Mungu wa miungu Wengi hawajakutambua Ila kwangu umejitambulisha Ahsante Tena na Tena Ufalme wako ni wanguvu Kwa Yesu tumeupata Mashetani yanatutii Kwa damu yako ninashinda Kila wakati Mema unaniwazia Kwako ndio uhalisia wangu Usiniache peke yangu Hakuna niwezalo Baba nakuona Upo ndani yangu Kwa kinywa changu Yako nayanena Rehema na wokovu Mbele naviona Ahsante kwa hii nguvu Ufalme wako ni wanguvu Kwa Yesu tumeupata Mashetani yanatutii Kwa damu yako ninashinda Kila wakati Mema unaniwazia Kwako ndio uhalisia wangu Usiniache peke yangu Hakuna niwezalo Ufalme wako ni wanguvu Kwa Yesu tumeupata Mashetani yanatutii Kwa damu yako ninashinda Kila wakati Mema unaniwazia Kwako ndio uhalisia wangu Usiniache peke yangu Hakuna niwezalo
Sanatçı: Augustino Mtaningu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:35
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Augustino Mtaningu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı