Augustino Mtaningu

Augustino Mtaningu - Sifa Zako (Official Audio) II

augustino mtaningu augustino mtaningu - sifa zako (official audio) ii şarkı sözleri

Sauti zetu zinainuka Twamlilia Baba wa mbingu Tumekuja kwa unyenyekevu Mbele yako tumesimama Upako wako unatosha Twashukuru kwa neema zako Mioyo yetu inakutafuta Ewe Mungu mwenye rehema Kwa mikono twainua Twakutukuza Milele Tutaimba sifa zako Baba yetu Mwenyezi Ni wewe Mungu wa upendo Daima tutakutukuza Katika shida na furaha Wewe wafuta machozi yetu Hakuna mwingine kama wewe Wewe ni mwamba wa uzima Katika giza na mwanga Tunasimama kwa imani Ooh oooh ooh Kwa mikono twainua Twakutukuza Milele Tutaimba sifa zako Baba yetu Mwenyezi Ooh ooh oooh Oooh oooh oooh Oooh ooh oooh Kwa mikono twainua Twakutukuza Milele Tutaimba sifa zako Baba yetu Mwenyezi Oooh oooh ooh Baba yetu Mwenyezi Ooh oooh oooh Oooh oooh oooh Hakuna mwingine kama wewe Wewe ni mwamba wa uzima Katika giza na mwanga Tunasimama kwa imani
Sanatçı: Augustino Mtaningu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:44
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Augustino Mtaningu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı