Augustino Mtaningu

Augustino Mtaningu - Umenipendelea (Official Audio)

augustino mtaningu augustino mtaningu - umenipendelea (official audio) şarkı sözleri

Eeh Bwana! Eeh Bwana! Umenijengea uwezo Sauti yako naisikia Viwango nimepanda Natafsiri mambo kwa uhalisia Kweli Neema yako ni Upendeleo Nakujia kwa Moyo Nimemaliza mwaka Nimefungua mwaka Mengi nimejionea Vita umenishindia Njia umenifungulia Viwango umenipandisha Japo Sina mengi mema Bali Neema yako umenipendelea Umenijengea uwezo Sauti yako naisikia Viwango nimepanda Natafsiri mambo kwa uhalisia Kweli Neema yako ni Upendeleo Kwa Jina la Yesu Nitalihimidi milele Nimekuwa zaidi na zaidi Kwa Jina hili Ooh Bwana Neema yako isiniache Niende wapi Na kwako Kuna maneno ya uzima Umenijengea uwezo Sauti yako naisikia Viwango nimepanda Natafsiri mambo kwa uhalisia Kweli Neema yako ni Upendeleo Kwa Jina la Yesu Nitalihimidi milele Nimekuwa zaidi na zaidi Kwa Jina hili Ooh Bwana Neema yako isiniache Niende wapi Na kwako Kuna maneno ya uzima Umenijengea uwezo Sauti yako naisikia Viwango nimepanda Natafsiri mambo kwa uhalisia Kweli Neema yako ni Upendeleo
Sanatçı: Augustino Mtaningu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:14
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Augustino Mtaningu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı