Augustino Mtaningu

Augustino Mtaningu - Zaidi Ya Kushinda (Official Audio)

augustino mtaningu augustino mtaningu - zaidi ya kushinda (official audio) şarkı sözleri

Mhh, mhh, ooh ooh Bwana kweli sielewi Lakini nakuamini Moyo waniuma Ila nakutumainia Mbele sioni Nakutizamia wewe Akili imeshindwa Imani yako inizidi Bwana nimekuja Tena Naomba mwisho wa haya Upeo wangu umefika mwisho Akili imesimama Nahitaji msaada wako Kimbilio langu na nguvu Ni wewe tu Bwana Majaribu ni mtaji Nasubiria ukuu wako Bwana kweli sielewi Lakini nakuamini Moyo waniuma Ila nakutumainia tu Mbele sioni Nakutizamia wewe tu Akili imefeli Imani yako inizidi Wenye haki walikutumainia Ukawapa kushinda zaidi ya kushinda Umenipa kufanyika mtoto wa Mungu Nimekuwa mzaliwa wa haki Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke Ila mapenzi yako yatimizwe Pamoja na haya Bado nakuamini Mhh, mhh, mhh, mhh, mhh Wenye haki walikutumainia Ukawapa kushinda zaidi ya kushinda Umenipa kufanyika mtoto wa Mungu Nimekuwa mzaliwa wa haki Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke Ila mapenzi yako yatimizwe Pamoja na haya Bado nakuamini
Sanatçı: Augustino Mtaningu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:36
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Augustino Mtaningu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı