augustino mtaningu roho wa yesu şarkı sözleri

Ooh! Roho wa Yesu Ooh, Ooh Ooh Roho Baba naomba tuongee Sikia ombi langu kwako Sina Amani bila Roho wako Kuna maana gani ya mimi bila yeye Au uzima wangu u wapi bila yeye Nikitizama uongo wa hii Dunia Nikitizama mienendo ya hii dunia Ndipo natambua bila Roho si kitu Ooh! Roho wa Yesu Ooh, Ooh Ooh Roho Baba naomba tuongee Sikia ombi langu kwako Sina Amani bila Roho wako Umenipa kuchagua, nakuchagua wewe Umenipa kutazama, nakutazama wewe Umenipa uzima, nakutumikia wewe Umenipa nafsi, naiuza kwako Umenipa kinywa, nakusifu wewe Ooh! Roho wa Yesu Ooh, Ooh Ooh Roho Baba naomba tuongee Sikia ombi langu kwako Sina Amani bila Roho wako Chanzo cha maarifa ni yeye Utu wangu sababu ni yeye Kubwa kwangu ni Roho wako Nitajulishwa yote, Sitokuwa mgeni Ooh! Roho wa Yesu Ooh, Ooh Ooh Roho Baba naomba tuongee Sikia ombi langu kwako Sina Amani bila Roho wako Ohooo ohooo ohooo
Sanatçı: Augustino Mtaningu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:37
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Augustino Mtaningu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı