b classic 006 najiuliza şarkı sözleri

006.. Najiuliza niache mziki nikawe jambazi ila moyo b we kaza roho , ama nipige picha za uchi niweke mtandaoni nione kama nitapata doo,maana Kenya cha muhimu hakina thamani cha kijinga kinapewa show,unajituma unakazana na usiku haulali unachofanya hakina maana watu hawajali Kungangana umengangana kutafuta riziki ila mambo hayaendi Kuna wengi wamefeli kwa sababu ya chuki na wamekosa amani Bridge; Kama basi kuna baraka nielezeni nijue, afathali nieke baraka ili na Mimi nifanikiwe Chorus; Ila naamini Mungu atatendaga atatendaga,, ila naamini Mungu atatendaga ni muaminifu Mungu ananipendaga Verse 2; Mawazo yanachanganyaga stress mpaka unaweza ukajimada ,usione wengi wanapitananga akili zimechanganyana Nahisi namazito ooh.... ntampa nani?daily mapito pito ntatokea wapi nilipo Mungu nawe upo ,japo mashida yamenikaba kaba ,fanya jambo we ndio weapon ,nakuita Mungu we ndio baba Bridge; Kama basi kuna baraka nielezeni nijue, afathali nieke baraka ili na Mimi nifanikiwe Chorus; Ila naamini Mungu atatendaga atatendaga, ila naamini Mungu atatendaga ni muaminifu Mungu ananipendaga
Sanatçı: B Classic 006
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:16
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
B Classic 006 hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı