b classic 006 pole şarkı sözleri
Mmmmh .... Bclassic 006, mmmmmmh aayayaya
Mi ni yule yule uloniacha aah.kwa tamaa za pesa ukaniona si chochote,kumbe elimu ni shule wameshakufunza aah...maisha yamekushinda ukaona unikumbuke nimeshapata wakumpa moyo wangu nishaweka nukta,mwisho wa safari yangu ,jasho nafutwa mimi ,ye ndio feni langu, staki kutafutwa ukaniharibia penzi langu,
Bridge
Mbele ya mashoga zako,ukaniacha ukaenda zako ,bila kujali kama ntaumia ah..nililia Mimi,asa liko wapi danga lako ,ulosema ndio type yako,nishampata wangu wa moyoni asa mwingine wa nini
Chorus;
(Nakupa pole pole, pole pole, nakupa pole pole, sina cha kukusaidia) ×2
Verse 2
Oo kwetu limeshanawiri, penzi lingi makopakopa,ameniweza sio siri na nimeshampanga na nyota,tunapendana zaidi wenye wivu mbona mtajuta, mwanzo umenipigia ya nini na number zako nilishafuta
nimeshapata wakumpa moyo wangu nishaweka nukta,mwisho wa safari yangu ,jasho nafutwa mimi ,ye ndio feni langu, staki kutafutwa ukaniharibia penzi langu,
Bridge;
Mbele ya mashoga zako,ukaniacha ukaenda zako ,bila kujali kama ntaumia ah..nililia Mimi,asa liko wapi danga lako ,ulosema ndio type yako,nishampata wangu wa moyoni asa mwingine wa nini
Chorus;
(Nakupa pole pole, pole pole, nakupa pole pole, sina cha kukusaidia )×2