b classic 006 sina bahati şarkı sözleri
Yeaaaah bclassic 006 . I wish ningejua kitambo, bahati ya mapenzi sina tena, na moyo wangu ameuweka kapambo kwenye maumivu mi naugulia , after kutendwa ah....bado nazidi kupenda....after kutendwa ah....bado nazidi kupenda ...
Bridge;
zile micharuko za maneno sina aibu moyo wangu umekosa Sera ...oh zile micharuko za maneno sina... aibu moyo wangu umekosa sera...mwenzio naumiaaaa
Umdhanie yeye anakupenda,kumbe ana wake moyoni ..ukichunguza kumbe anakutenda kumbe amekufumba machoni...
Chorus
Ooooooh
(Sina,sina bahati ya mapenzi ) ×2
Nikirajibu kupenda
Sina bahati ya mapenzi
Sina sina bahati ya mapenzi
Verse 2
Nimejaliwa moyo wa kupenda nikipenda nazama nakufa nikionjeshwa nalewa, nazama fofofo..hivi bclasic ,nikukosea ama ni laana..Giddy vibes on the beat nieleze why why why why
Bridge
zile micharuko za maneno sina aibu moyo wangu umekosa Sera ...oh zile micharuko za maneno sina... aibu moyo wangu umekosa sera...mwenzio naumiaaaa
Umdhanie yeye anakupenda, kumbe ana wake moyoni ...ukichunguza kumbe anakutenda kumbe amekufumba machoni...
Chorus
Ooooooh,
(Sina, sina bahati ya mapenzi) ×2
Nikirajibu kupenda
Sina bahati ya mapenzi
Sina sina bahati ya mapenzi.......