B Classic 006 şarkı sözleri
Oh nah,la,la oh oh oh.. Bclassic 006
Baby,
Weh ni mafuta acha nijipakaze,
Maana penzi lako dawa kwangu,
Siumenikwasha wapambe wanyamaze, (Umenishika moyoni.)
Tena kwa kila kitu oh my,umeshaziba huo mwanya,
Pale walipochana oh my,ndio maana kwako me na deka,
Weh ni asali mi ni nyuki,acha nikung'ateng'ate,ata nikupe boli siruki,na usiku nikuote..
Nataka Leo tuwakere,STELLA,
Mabusu adharani, STELLA,
Wakuwakunywa tuwakunywe, STELLA,
Tujibambe, tujibambe, STELLA,
Nataka Leo tuwakere,STELLA,
Mabusu adharani, STELLA,
Wakuwakunywa tuwakunywe, STELLA,
Tujibambe, tujibambe, STELLA,
(Steiii...noma STELLA ah ah ah, steee)
Na confess,siumenikaa kwenye mtima,
Tena me na profess**, na kwako nimezama mazima,nakukupata siorahisi,mwenzako,ndio maana sitaki ku mess,
Na penzi lako,sio rahisi tukiposti niseme,Nita comment,..
Ndio maana natamba,kamoyo kana Siri,
Kapole tuliko more fun., kwako me oya...,
Nipeleke moto,vile unataka,
Nipe kama unataka,baby,umenipata,
BRIDGE:
Weh ni asali mi ni nyuki,acha nikung'ateng'ate,ata nikupe boli siruki,nausikunikuote..
CHORUS;
Nataka Leo tuwakere,STELLA,
Mabusu adharani, STELLA,
Wakuwakunywa tuwakunywe, STELLA,
Tujibambe, tujibambe, STELLA,
Nataka Leo tuwakere,STELLA,
Mabusu adharani, STELLA,
Wakuwakunywa tuwakunywe, STELLA,
Tujibambe, tujibambe, STELLA,
(Steiii...noma STELLA ah ah ah, steee)