b classic 006 valentine şarkı sözleri
Ooooh iyaiyaiya bclassic 006,
Baby wakikuambia ati mi sikupendi waambie ndio wameukoka moto na tena hauzimiki oo nononono.....
Wakiniona nalia pendo limefifia na kutwa nakula nao kumbe wanazo chuki ii ,wanazo chuki Meli likianza safari huwezi geuza hata kama una nguvu kiasi gani na wish kumpata ata nicheze na yeye oo na yeye.. Ndio nishaonja asali kwanza ilivyotamu ntaiwachaje hapo ndio pagumu
Bridge:
Kwanza nakusihi baibe unikumbuke napolala,ujue we ndio napenda na siwezi kudanganya ,upendo wako wewe umezidi umenichanganya hifathi yangu ni wewe chonde usije nikana
Roho yangu hunnie imejawa na bashasha sema wataka nyimbo gani ili unikumbuke milele
Chorus:
You’re my valentine aaaaeeh,
You’re my Valentine
aaaeeeh,
You’re my valentine
aaaaeeeh
You’re my valentine) ×2
Verse 2:
Yametukutanisha mapenzi mawingu tayari yamefunga cha kututenganisha sioni maana mi kwako nishatua, dear love umenishika kwenye koromeo mahaba umeyazidisha huko kwengine intake Mimi mie
Swala lako wewe limekua kama langu mimi
Swala langu Mimi limekua kama lako wewe
Bridge:
Kwanza nakusihi babe unikumbuke unapolala,ujue we ndio napenda na siwezi kudanganya ,upendo wako wewe umezidi umenichanganya hifathi yangu ni wewe chonde usije nikana
Roho yangu hunnie imejawa na bashasha sema wataka nyimbo gani ili unikumbuke milele
Chorus:
You’re my valentine aaaaeeh,
You’re my Valentine
aaaeeeh,
You’re my valentine
aaaaeeeh
You’re my valentine) ×2