balulu the icon controller şarkı sözleri

He he he, Je jyeah, Apana cheza na the Icon budah, Apana cheza na the what Si unajua, skia Unanicontrol unanimodaaa modaa Napenda ukisongaaa songa Aki nyako unanibamba vibaya Unafanya nifinye sauti ni kama choir Unanicontrol unanimodaaa modaa Napenda ukisongaaa songa Aki nyako unanibamba vibaya Unafanya nifinye sauti ni kama choir Mi Napenda baby ukiroll dat Napenda kwanza ukiwine dat Hichi kiono chako si kawada Cheki vile una wine Cheki vile una wine Unafanya icon anastay humble Uko down 2nd head ukifanya mambo Rambo kanambo, weka radio jambo Ngoma za Balulu zinaguswa zinabang ah Mr. Deejay, Deejay Put de song pon da replay Angusha kitu wacha delay Nataka mskize Mikono za Videz Mr. Deejay, Deejay, eh eh Put de song pon da replay, eh eh Angusha kitu wacha delay eh eh Nataka mskize Mikono za Videz Unanicontrol unanimodaaa modaa Napenda ukisongaaa songa Aki nyako unanibamba vibaya Unafanya nifinye sauti ni kama choir Unanicontrol unanimodaaa modaa Napenda ukisongaaa songa Aki nyako unanibamba vibaya Unafanya nifinye sauti ni kama choir Mmh, sing again (Sing again) Na kama ngoma tamu sing again Mmh, gyal dance again Na kama ngoma tamu kama ngoma tamu Shugli badi shugli badi move your body Napenda baby girl uki move up your body Wine to di riddim, dance wid a rhythm Ikibamba sana tunaanza from beginning Katoto kazuri katoto fine Katoto kazuri si ni ka mine Cheki shoree amebeba ma wah Na akiyiengo sote tunabaki tu za wah Mi Napenda baby ukiroll dat Napenda kwanza ukiwine dat, Hichi kiono chako si kawada Cheki vile una wine Cheki vile una wine Mr. Deejay, Deejay Put de song pon da replay eh eh Angusha kitu wacha delay Nataka mskize Mikono za videz Unanicontrol unanimodaaa modaa Napenda ukisongaaa songa Aki nyako unanibamba vibaya Unafanya nifinye sauti ni kama choir Unanicontrol unanimodaaa modaa Napenda ukisongaaa songa Aki nyako unanibamba vibaya Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Sanatçı: BALULU THE ICON
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:53
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
BALULU THE ICON hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı