bamboo african bantu karibu home şarkı sözleri
Nilipo okoka nili kuwa na vitu mingi sielewi, siku jua kaa haufai kukuwa bar mi sipewi,
siku jua kuna mtu kaa shetani sikudhani,
kuna watu flani luminati yaani
Siku jua kuna kitu kama pepo, na malaika walifkuzwa toka mbingu wako huku wana tafuta, yule hana mafuta
yule ame chafuka, toto hadi kwa guka
mi nishawai anguka alafu nika amuka
Siku jua pepo Jezebelly
anataka watu wazingue wasi jue ukweli
Sikujua uokovu ni kuokolewa helli
hawonyeshi telli kuna nabi matapeli
Kazi jaza belly
watu hawasemi
Wanasema panda mbengu mavuno mtavuna
sasa basi mbona usi ubiri njili Juma
/-/Nani amekutuma?
Ushaniskuma
Verse 2
Hakuna aliye kuja kwake
aka baki vile
Karibu
Unapendwa sana
Wengine wana kudanganya
ni mwingi wahuruma
Karibu
Hajawai mwacha wake
anainua sana
Nakwambia kweli
Usikate tamaa rudi
Unapendwa
Karibu
Ameinua wengi sana
Hawezi kukuwacha
Rudi
Verse 3
Najua watu wako na maswali mingi kama mimi
Hawaelewi kukuwa mkristo ni ku kuwa nini
kwa nini amukunywi kwa nini amulewi?
Kwa nini amudanganyi kwa nini amupewi?
Kwanini mnaomba sana hivyo kanisani
pole kama ni maswali mingi samahani
Kumbe hapa kuna vita
Na tuna pigania
Kumbe God anakuita
Na amevumilia
Kumbe dhambi zinauwa
Na kuzimu iko -> Na Shetani ana koroganga watu kama mwiko eeh!
Kumbe Yesu yupo
Na anakupenda
Na ukimwita
awezi kulenga ehh
Kumbe ni Shetani mishale zilinigonga
Kumbe haya magonjwa Yesu anaponya
Onya
Oh yeah

