baraka lucas nieleze şarkı sözleri

Yaani ananipenda huyu mungu Aah Jamani upendo wanishangaza Amani na uhai juu yangu Kaniongeza baraka Ni wa bei ghali sio nafuu Nibebe yesu nibebe begani Nikiwa nawe mimi nina imani Sina mashaka mimi Kwangu burudani yaani Umenibariki baba nakushukuru Na adui zangu Wameshindwa kunena Huku kunipenda ina maana Umenifanya mwanao Ulijitoa nisihesabiwe dhambi Haloo oh Niwaeleze nini Leo mtoto wa mjini Upendo wa mungu Umenifika hapa Niwaeleze nini Leo mtoto wa mjini Upendo wa mungu Umenifika hapa Auo mh mh eiyee aah aah Milango yangu ilipofunga fungua Mashaka yangu yalipozidi ukaondoa Milango ya baraka ilifungwa Tumaini langu lilipotea Ukarejesha Bado nakuamini Haijalishi kipi ninapitia Umenipa furaha na amani Sina wasiwasi maishani Bwanaaa Bado nakuamini Nijapopita kwenye magumu Sina wasiwasi na tabasamu Oh dady Umenipa furaha ya kudumu Umenibariki baba nakushukuru Na adui zangu Wameshindwa kuunena Kunipenda ina maana Umenifanya mwanao Ulijitoa nisihesabiwe dhambi Haloo oh Niwaeleze nini Leo mtoto wa mjini Upendo wa mungu Umenifika hapa Niwaeleze nini Leo mtoto wa mjini Upendo wa mungu Umenifika hapa Auo mh mh eiyee aah aah
Sanatçı: Baraka Lucas
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:15
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Baraka Lucas hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı