barakito rodrigue milele şarkı sözleri
Mataifa wa kuimbia wewe
Mataifa wa kuimbia wewe
Maana wewe unatosha, wadumu Milele
Bwana wewe unatosha, wadumu Milele yeye
Uliumba dunia, na vyote vilivyomo
Ukaumba wanyama binadamu sote tukiwemo
Wewe ndie Alfa omega
Mwanzo na mwisho yee yeiye
Nani kama wewe bwana
Unaye tupigania
Matendo yako yashangaza miinashindwa kueleza aiii wewe
(Jehova Jireh) Mwanzo na mwisho
Mimi na nyumba yangu, nitakwimbia
MILELE (Milele ehh) MILELE (Milele) nitakuimbia MILELE
(Milele ehh) MILELE (Milele)
Mimi NITAKUIMBIA MILELE (Milele ehh) MILELE
(Milele eeeh ) MILELE (Milele ehh) Milele (Milele)
Ninaimba nikiwa nawe eee (Nikiwa nawe)
Mimi nina cheka nikiwa nawe eeeh (Nikiwa nawe)
Bwana nina ringa nikiwa nawe eee (Nikiwa nawe)
Mmm nina cheka nikiwa nawe eee (Nikiwa nawe)
Mmm Yesu wewe ni bwana, ninakupenda
Ulinifia sina chakukulipa ee
(Wewe ni bwana, ninakupenda
Ulinifia sina chakukulipa ee)
Oh nacheza, cheza! Unenichekesha
You have shown me favor so I'm gonna praise you forever
(Nacheza, cheza! Unenichekesha
You have shown me favor so I'm gonna praise you forever)
Mimi nacheza, cheza! Eh Unenichekesha
You have shown me favor so I'm gonna praise you forever
(Nacheza, cheza! Unenichekesha
You have shown me favor so I'm gonna praise you forever)
Eh
Tika ngai na yembela yo (Amen)
Tika ngai na kumisa yo (Amen)
Tika ngai na sanjola yo (Amen)
Ah
Tika ngai na yembela yo (Amen)
Tika ngai na kumisa yo (Amen)
Tika ngai na netola yo (Amen)
Ahh Jesu... On y va!
(Ehh ehh) Yesu ni wa bien
(Eh ehhh) Ahh twende tena
(Ehh ehh) unachezaka wapi ehh
(Ehh ehh) yeah bina
Twende, cheza, enh enh cheza
Ehn ehn, cheza
Ahh Ba maman ba maman bobinaka wapi ehh? (Awa!)
Ba papa ba papa bobinaka wapi ehh? (Awa!)
Bina bina, cheza cheza
Ale bina ehh bina ehh ehh, pona Yesu bina pona Yesu
Ale bina ehh bina ehh ehh, pona Yesu bina pona Yesu
Oh bina bina bina
Bina pona Yesu
Oh bina bina bina
Bina pona Yesu
Mimi na Yesu Milele yee yeh eeeeh
Ohh Milele na Milele Milele na Yesu ehh

