barnabas ke cha muhimu ni? şarkı sözleri
Walisema subira huvuta heri
Naye mwenda pole hajikwai
Bali nimechoka
Nimechoka kungoja
Nina ndoto, maisha natamani
Kuwa msoto siwezi kubali
Najua nikunoma
But I'll fight like a soldier
Ooh
Life ain't easy for a man
Ooh
Pingamizi left and right
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Oh dunia, nionee
Huruma, huruma
Oh dunia, nionee
Huruma, huruma
Oh dunia nionee huruma, huruma
Ooh
Life ain't easy for a man
Ooh
Pingamizi left and right
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la
Cha muhimu ni pesa
Au, cha muhimu ni heshma oh
Cha muhimu ni pesa au la

