barnabas ke mwaka wangu şarkı sözleri

Mmmmh Bwana Oooh Lord I know Umeahidi ni mwaka wangu Baraka teletele zi kwa njia yangu Kuna neema juu yangu And I know Unanena mema juu yangu Unatengeneza njia kwa ajili yangu Kuna meza mbele ya adui zangu Yes I know Nimeona kwa neno lako Ukitenda miujiza, ukifanya mambo Baba utatimiza ahadi zako Naomba Ukibariki kazi yangu Baba nisidhani ni ujuzi wangu Hizi baraka sio zangu Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu) Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu) Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu) Lord I know Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu) Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu) Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu) Lord I know Nimeambiwa mara mingi ati ni mwaka wangu Kisha miezi ikapita sijapata changu Nikachoka kuamini nina mwaka wangu But now I know Ukisema kwamba huu ni mwaka wangu Ni mapenzi yako kufanyika kwa Maisha yangu Na nizalishe matunda kwenye wito wangu Yes I know Nimeona kwa neno lako 'Kitenda miujiza, ukifanya mambo Baba utatimiza ahadi zako Naomba Ukibariki kazi yangu Baba nisidhani ni ujuzi wangu Hizi baraka sio zangu Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu) Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu) Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu) Lord I know Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu) Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu) Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu) Lord I know Bwana ninakuomba, tembea nami huu mwaka Yote ninayo yafanya yawe yamebarikiwa Bwana ninakuomba, niongoze huu mwaka Yote ninayoyapanga yatafanikishwa nawe Bwana ninakuomba, tembea nami huu mwaka Yote ninayo yafanya yawe yamebarikiwa Bwana ninakuomba, niongoze huu mwaka Yote ninayoyapanga yatafanikishwa nawe Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu) Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu) Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu) Lord I know Umeahidi Bwana (bariki kazi yangu) Umeahidi Bwana (nisidhani ni ujuzi wangu) Umeahidi Bwana (hizi baraka sio zangu) Lord I know
Sanatçı: Barnabas Ke
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:34
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Barnabas Ke hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı