barnabas ke ndakurehera maya şarkı sözleri
Shetani anaweza niambia, kuna vitu siwezi badilisha
Lakini mi siwezi jisumbua, nitakuambia
Na tena anaweza niambia, huenda mambo hayatabadilika
Lakini nisiloweza kujua, nitakuachia
Ju siwezi jisumbua na yale siwezi kutatua
Nikiwa nakumbuka we ulivyosema
Waugire ngakurehera maria (Ulisema nikuletee)
Maria mothe itangihota (Yale yote magumu)
Nindakurehera maya (Nakuletea haya)
Maya ndingehota (Haya yamenishinda)
Na ngakuiraga maria (Na niwe nakuambia)
Maria mothe manginema (Yale yote siwezi)
Nindakurehera maya (Nakuletea haya)
Maya nimanema (Haya yamenishinda)
Binadamu, ninaweza kuwaambia, kile chote ninachopitia
Lakini sio wote wataelewa, afadhali nikuambie
Wengine watasema najifanya
Hakuna shida nayopitia
Lakini wewe wanielewa, kila wakati
Na siwezi jiekea mambo, siwezi kutatua
Nikiwa nakumbuka we, ulivyosema
Waugire ngakurehera maria (Ulisema nikuletee)
Maria mothe itangihota (Yale yote magumu)
Nindakurehera maya (Nakuletea haya)
Maya ndingehota (Haya yamenishinda)
Na ngakuiraga maria (Na niwe nakuambia)
Maria mothe manginema (Yale yote siwezi)
Nindakurehera maya (Nakuletea haya)
Maya nimanema (Haya yamenishinda)
Oh, what peace we often forfeit
Oh, what needless pain we bear
Just because we do not carry
Everything to God in prayer
Augire tumurehere maria (Alisema tumletee)
Maria mothe tutangihota (Yale yote magumu)
Nitumurehere mothe (Tumletee yote)
Ngai ndangiremwo (Mungu hawezi shindwa)
Na tumuirage maria (Na tuwe tunamwambia)
Maria mothe tutangihota (Yale yote yanatushinda)
Nitumurehere mothe (Tumletee yote)
Ngai niekuhota (Mungu anayaweza)
Waugire ngakurehera maria (Ulisema nikuletee)
Maria mothe itangihota (Yale yote magumu)
Nindakurehera maya (Nakuletea haya)
Maya ndingehota (Haya yamenishinda)
Na ngakuiraga maria (Na niwe nakuambia)
Maria mothe manginema (Yale yote siwezi)
Nindakurehera maya (Nakuletea haya)
Maya nimanema (Haya yamenishinda)
Ndakurehera maya Ngai ndungiremwo (Nakuletea haya, huwezi shindwa)
Ndagutigira mothe, Ngai niukuhota (Nakuachia yote, Mungu utaweza)

