barnabas ke neema şarkı sözleri

'Kiamka, usisahau kuwa ni Mungu, shukuru Mungu Ukifanikiwa, usisahau ulivyoomba, rudia Mungu Yeah Ukipata hiyo kazi, usisahau Mungu, tukuza Mungu Ni kwa wema wake mkuu, Kila unafanya, jua yote ni ya Mungu Heshimu Mungu Ni kwa wema wake mkuu Ni kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa neema Ni kwa wema wake mkuu Ni kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa neema 'Kianza biashara Usifanye juu ya pesa Kumbuka ni huduma Ukilea huyo mwana Mfunze hekima Na hutawahi juta Kama ni kusoma Usisome na mchezo Somea who Somea mungu ooh Kila unafanya, jua yote ni ya Mungu Ni kwa wema wake mkuu Ni kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa neema Ni kwa neema Aah Ni kwa neema Ni kwa neema Aah Ni kwa neema Ni kwa wema wake mkuu Ni kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa neema Ni kwa wema wake mkuu Ni kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa neema Kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa neema Oh ni kwa wema Kwa neema Na wema wake mkuu Ni kwa wema wake, eeh, eeh
Sanatçı: Barnabas Ke
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:55
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Barnabas Ke hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı