barnabas ke wanipenda şarkı sözleri
Ata waseme nini Bwana wanipenda
Ata nifanye nini Bwana wanipenda
Ata nikae aje Bwana wanipenda
Ata nisipendwe aje Bwana wanipenda
Wanipenda upendo usio kipimo
Wanipenda jinsi tu nilivyo
Wanipenda upendo usio hitimisho
Ata kuende aje Bwana wanipenda
Ata kuende aje Bwana wanipenda
Nikiona mabaya Bwana wanipenda
Kukinyesha baraka Bwana wanipenda
Nikitukanwa, wanidhihaki, Bwana wanipenda
Hakuna linaloweza nitenga na unavyo nipenda
Wanipenda upendo usio kipimo
Wanipenda jinsi tu nilivyo
Wanipenda upendo usio hitimisho
Ata kuende aje Bwana wanipenda
Ata kuende aje Bwana wanipenda
Hakuna jambo linaloweza
Kukufanya uwache nipenda
Hakuna anayeweza nipenda, unavyonipenda
Hakuna jambo linaloweza
Kukufanya uwache nipenda
Hakuna anayeweza nipenda, unavyonipenda
Hakuna jambo linaloweza
Kukufanya uwache nipenda
Hakuna anayeweza nipenda, unavyonipenda
Hakuna jambo linaloweza
Kukufanya uwache nipenda
Hakuna anayeweza nipenda, unavyonipenda
Whoa!... wanipenda
Wanipenda jinsi tu nilivyo
Wanipenda upendo usio hitimisho
Ata kuende aje Bwana wanipenda, wanipenda
Wanichukie, wanidhihaki
Wanipenda, wanipenda
Wanitenge, waniache, wanipenda
Ata kuende aje wanipenda

