barry l sina budi (feat. nick o'sam) şarkı sözleri

Nime choka na hood rat music yenye nyi' huita ma classic Me ni msee hufunga bao bila ku get ma assists Sidai hizo handouts yenye ma new comer hu die for Bado nita Do-Biz bila verse ya kubaff Nime piga tizi mob ndio nisiwai mind ma blogger Sahizi rap ni so easy ka ku boil potato Siwezi wategemea cause me huwanga loner Rap nitazidi kui-shape mukikalia mawe kwa coner Reason nina-do music ni totally different na yako Uligasiwa na ma vako hii yangu ni passion Huwezi get hiyo mansion bila kutoa jasho Siwezi mwaga unga ata kama kesho kuna ruracio Nime walk through hell na nikatoka bila scratch It ain't hard ku tell ata devil si my match Next time ukitaka beef kuwa ready for cancer Nightmares nitazidi kuwa serve kama ndoto za gangsters Ma rapper huwa cocky I guess ni effects za bhangi Sipendi Ku hang na nyiyi, cause nyinyi wote ma dummy Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii) I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi) Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh) Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii) I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi) Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh) Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this Usi judge a book by its cover ama after one chapter Nili make kovu a classic sahizi wanadai more Wakitupa more shade marapper wata-dye more Me na wewe hatujawai meet so usini diss for show Niko respected na my peers hadi na ma OG's Lakini nikianza hii game waliniita watchie But kushoto, kulia ndio imenifikisha hapa Sikuwai give up ata enzi ya kulala bila supper Hii mziki haijawai kuwa easy Na Ka si for the love probably ningekuwa kwa ofisi Na chase hizo ma centi Ata bila hyo dough nita rap for dishi Na nime-remake hii beat I guess me ni mpishi Walidhani wakinilenga, mimi sitawai songa Na ma show wasiponijenga nitabaki nikiteta But kifua najipiga juu na believe in me Inside me kuna fire yenye we' unaweza kosa ku see Place yenye niko si a place I wanna be Ndio napiga hii wera to be where I wanna be Lyrical G lishakuwa title na sina budi (buuuuuudiii) I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (kimaksuuudi) Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (uhh) Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this Lyrical G lishakuwa title na sina budi (buuuuuudiii) I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (kimaksuuudi) Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (uhh) Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this Ni hard ku make a choice ka' kuna watu unawapenda Imagine ku follow river ju huwezi sema no Your feelings unazi hurt ndio usi hurt ya others Deep inside uko bitter but unacheza on the low Siwezi ji contain kama rain me hu pour Vitu zikiwa heavy ku maintain mimi nita hukohoa I guess nimezoea pain happiness kwangu ni stranger Nikiendelea hivi down the road naeza kosa ku bounce back But f*ck that! Na put my life venye nataka Nime cross the line but still najua what I'm after Hakuna mtu ashai pata bila kutafuta Na leo niki hata bado kesho kwangu ina matter Leo nikirudi home wanaweza kosa kuni support Nimechoka ku roam me ni wa 64 damu Marapper wakidai smoke me hukuja na gas fire Ma judges hukutetea ndio laini saba isikae ugly I rep what I believe so, I believe in what I rep Wewe ni fan usiogope kuitisha for picha Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii) I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi) Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh) Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii) I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi) Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh) Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this
Sanatçı: Barry L
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:10
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Barry L hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı