bechuu honex baraka za bwana [versio] şarkı sözleri
Baraka za Bwana
Hushuka
Baraka za Bwana
Hushuka
Hushuka Hushuka
Hushuka
Hushuka Hushukaa
Kutoka Juu
Baraka za Bwana
Hushuka
Baraka za Bwana
Hushuka
Hushuka Hushuka
Hushuka
Hushuka Hushukaa
Kutoka Juu
Yakobo aliny'any'ana
Na Maraika
Akitaka naye Abarikiwe
Nawe ukiamini
Utaziona
Ukifungua moyo
Utaziona
Uwe mnyenyekevu
Utaziona
Waheshimu wazazi
Utaziona
Nawe ukiamini
Utaziona
Ukifungua moyo
Utaziona
Uwe mnyenyekevu
Utaziona
Waheshimu wazazi
Utaziona
Zina Heri ndani yake
Maana zimeruhusiwa
Na Mungu
Zina nguvu ndani yake
Maana zimeruhusiwa
Na Mungu
Zina Heri ndani yake
Maana zimeruhusiwa
Na Mungu
Zina nguvu ndani yake
Maana zimeruhusiwa
Na Mungu
Ny'any'ana Ny'any'ana
Utaziona
Ny'any'ana Ny'any'ana
Utaziona
Ny'any'ana Ny'any'ana
Utaziona
Ny'any'ana Ny'any'ana
Utaziona
Mungu alimwambia ibrahim
Mungu alimwambia ibrahim
Watoto wako watakuwa wengi
Kama mchanga wa Baharini
Atakaye kuraani
Ataraaniwa
Atakaye kubariki
Atabarikiwa
Atakaye kuraani
Ataraaniwa
Atakaye kubariki
Atabarikiwa
Baraka za Bwana
Hushuka
Baraka za Bwana
Hushuka
Hushuka Hushuka
Hushuka
Hushuka Hushukaa
Kutoka Juu
Baraka za Bwana
Hushuka
Baraka za Bwana
Hushuka
Hushuka Hushuka
Hushuka
Hushuka Hushukaa
Kutoka Juu
Zikushukie nawewe
Zikushukie nawewe mama
Uonje wema wa Mungu
Uone wema wake
Zikushukie nawewe
Kama Batimayo alipata kuona
Uone wema wa Mungu
Zikushukie nawewe
Zikushukie nawewe mama
Uonje wema wa Mungu
Uuone ukuu wake
Zikushukie nawewe
Uone wema wa Mungu
Bwana Yesu telemsha
Nguvu zako telemsha
Bwana yesu telemsha
Nguvu zako telemsha
Bwana Yesu telemsha
Nguvu zako telemsha
Bwana Yesu telemsha
Nguvu zako telemsha
Ooh Bwana Yesu telemsha
Nguvu zako telemsha
Bwana Yesu telemsha
Eeh Bwana Yesu telemsha
Nguvu zako telemsha
Bwana Yesu telemsha
Ooh telemsha Baba
Telemsha Nguvu zako
Telemsha
Ooh telemsha Baba
Telemsha Nguvu zako
Telemsha
Ooh telemsha Baba
Telemsha Nguvu zako
Telemsha
Ooh telemsha Baba
Telemsha Nguvu zako
Telemsha
Telemsha Baba
Telemsha Nguvu zako
Telemsha

