bechuu honex bechuu honex- go away [version] şarkı sözleri

Nilijiamini sana Nikaukabidhi moyo wangu kwako Kutendwa sikufikiri Kwasababu nilijiamini sana kwako Kwani moyo wangu kwako Zingio limetawala kila chemba zako Nilitamani nijiengue Lakini moyo wangu ulidata kwako Ukajaribu nionesha Pendo lisilo na thamani Kama mbeleko ndo hii Sawa nitabeba mwenyewe Nikajaribu kukuita Majina mengi wangu mwandani Sasa mimi mwenzio Naona bora nijiengue Kwa visa vyako vya chichi Ndivyo vilifanya mi niumie Usije ukanitusua jichoni Utanifanya mi nikataliwe Kwa visa vyako vya chinichini Ndivyo vilifanya mi niumie Usije ukanitusua jichoni Utanifanya mi nikataliwe Go away Sitaki tena ishi nawe Go away Bora nibaki mwenyewe Go away Go away Sitaki tena ishi nawe Go away Bora nibaki mwenyewe Go away Mda mwingi Niliwaza juu yako we Kipi nikifanye nafisi yako ifrahi Mbele ya mashoga zako we Iyeiyeiye Kumbe sikujua Kama napuliza kumbe ndo nazima Na utamu wa penzi lako Ndo ulinifanya mi nikachechema Kwa visa vyako vya chinichini Ndivyo vilifanya mi niumie Usije ukanitusua jichoni Utanifanya mi nikataliwe Kwa visa vyako vya chichi Ndivyo vilifanya mi niumie Usije ukanitusua jichoni Utanifanya mi nikataliwe Go away Sitaki tena ishi nawe Go away Bora nibaki mwenyewe Go away Go away Sitaki tena ishi nawe Go away Bora nibaki mwenyewe Go away
Sanatçı: Bechuu Honex
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:16
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Bechuu Honex hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı