bechuu honex piama şarkı sözleri

We ni wangu namba moja Maishani una shine kama marikia Kina roda wanatamani wambatane nawe kila kona sinyorita Margarita ndo majina wanayokuita Check your bambam waoneshe Tena jinsi ulivyonona we ndo My number one my number one We ndo my number one my number one Paja lipo nje unapambana na draft Wanafiki piga chini tuongeze mitkasi We ndo wangu sitokwacha swadata We ndo wangu sitokwacha swadata I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia Kwenye haya maisha nimekupa Namba moja wanakuita Aisha Unapenda lugar dance on this time Hujapenda my money Kuwa nawe tena mimi nilijipa imani Marumbano sikupenda aaah Yasije niingizia kisilani Ona visa visasi balaa wanapita Na maneno ya kanga tena mimi Sitaki baraa ona daily wanakesha Kwa waganga ona wana ganga njaa Wakikwambia maneno wewe kataa Ona wana balaa penzi lako nashiba Ata nikilala njaa eeeh ona Wana ganaga njaa Kwa waganga ona wana ganga njaa Wakikwambia maneno wewe kataa Ona wana balaa penzi lako nashiba Ata nikilala njaa eeeh ona Paja lipo nje unapambana na draft Wanafiki piga chini tuwaongeze mitkasi We ndo wangu sitokwacha swadata We ndo wangu sitokwacha swadata I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia I like when you move your body Kama piamia Napenda unavyo move your body Kama piamia
Sanatçı: Bechuu Honex
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:51
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Bechuu Honex hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı