bechuu honex piamia [version] şarkı sözleri
We ni wangu namba moja
Maishani una shine kama marikia
Kina roda wanatamani wambatane
nawe kila kona sinyorita
Margarita ndo majina wanayokuita
Check your bambam waoneshe
Tena jinsi ulivyonona we ndo
My number one my number one
We ndo my number one my number one
Paja lipo nje unapambana na draft
Wanafiki piga chini tuongeze mitkasi
We ndo wangu sitokwacha swadata
We ndo wangu sitokwacha swadata
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
Kwenye haya maisha nimekupa
Namba moja wanakuita Aisha
Unapenda lugar dance on this time
Hujapenda my money
Kuwa nawe tena mimi nilijipa imani
Marumbano sikupenda aaah
Yasije niingizia kisilani
Ona visa visasi balaa wanapita
Na maneno ya kanga tena mimi
Sitaki baraa ona daily wanakesha
Kwa waganga ona wana ganga njaa
Wakikwambia maneno wewe kataa
Ona wana balaa penzi lako nashiba
Ata nikilala njaa eeeh ona
Wana ganaga njaa
Kwa waganga ona wana ganga njaa
Wakikwambia maneno wewe kataa
Ona wana balaa penzi lako nashiba
Ata nikilala njaa eeeh ona
Paja lipo nje unapambana na draft
Wanafiki piga chini tuwaongeze mitkasi
We ndo wangu sitokwacha swadata
We ndo wangu sitokwacha swadata
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia
I like when you move your body
Kama piamia
Napenda unavyo move your body
Kama piamia

