bechuu honex surprise şarkı sözleri
Napenda kukusifia
Kwanza unavutia
We kwangu marikia
Moyoni wanifkirisha
Sipendagi wagawaga
Ka vioo vya oking
Wengi wanakuja kwako
Wamejaza miforeni
Mi kwako ni ka mgonjwa
Nasubiri unitibishe
Nichanganyie na dawa
My baby ninyweshe
Siunajua kwa penzi lako
Mi waga sijiwezi
Nakuomba nipe vyote
My baby nipandishe mizuka
Surprise
Baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise
Surprise
baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise
Surprise
Baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise
Mmmh yeah
My love umeniroga
Sijui ntakwenda wapi mie
My love umeniteka
Sijui ntakwenda wapi ukiniacha
Umbo namba nane
Masharobaro mkae pembeni
Msije niibia kwa hizo
Swaga zenu za chooni
Tena I feel good unapokuwa
Unawachanganya but sitoamini
Sikumoja ukiniacha
Mdogo mdogo maminto
Usijari tutafikaga na waambie
Safari yetu ishaanza
Ntakaza buti angalau
Tufikie marengo tuliyo
Yapanga mi nawewe
Toka kitambo
Surprise
Baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise
Surprise
baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise
Surprise
Baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise
Mmmh baby surprise
Surprise
Ntafanya surprise

