bechuu honex unaweza şarkı sözleri
Mmmh
Yesu mi nakupenda
Yesu mi nakupenda
Yesu unibariki
Watupenda yesu
Watupenda yesu
Watulinda yesu
Waponya magonjwa
Watulinda yesu
Waponya magonjwa
Unaweza yesu
Watupenda yesu
Ingawa umeteseka miaka mingi
Mwite yesu ata kuponya
Mwite yesu ata kuponya yesu
Ingawa umeteseka miaka mingi
Mwite yesu ata kuponya
Mwite yesu ata kuponya yesu
Aaah yesu yesu
Mi naomba unipokee
Mi naomba unipokeee
Magonjwa mengi duniani
Magonjwa mengi duniani
Magonjwa mengi duniani
Naomba hekima yako
Naomba hekima yako
Naomba hekima yako
Moyoni mi siwezi
Moyoni mi siwezi
Moyoni mi siwezi
Ninaomba ulinzi wako
Ninaomba ulinzi wako
Ninaomba ulinzi wako unifunike
Yesu yesu mi nakupenda
Yesu mi nakupenda
Wahuwisha yesu
Waponya magonjwa
Wafariji yesu
Wahuwisha yesu
Wabariki yesu
Waokoa yesu
Ndugu yangu nakusihii
Mtegemee bwana
Katika maisha yako
Wala usikimbilie kwa waganga
Acha tu Mungu atakushindia
Mtegemee yeye
Yeye ndio kila kitu katika maisha yako
Nakuambia mgeukie bwana Hallelujah

