c mchezo ex pole şarkı sözleri

Hmmm, Kaka yao Yao Ex pole, pole Nakupa pole Pole sana Hiyo imekula kwako Imeshaakula kwako dada Ex pole, pole Nakupa pole Pole sana Hiyo imekula kwako Imeshaakula kwako dada Hukujali Nala robo unakula kizima Hukujali Ninavyokonda hata sura inatisha Tena hujali Unachochea pale wakiniponda Sina amani Hili penzi kifungo najiona niko jela Ulidhani nitalia Ulidhani nitaumia Ulidhani ntajinyonga Kuniacha bila taarifa Fikisha meseji Kwa mashoga zako Wote waloniponda Wambie natakata Wambie natakata jama Nakupa pole Umejikwaa na glasi ishaavunjika Maji yamemwagika Siwezi rudi tena kwako Nakupa pole Umejikwaa na glasi ishaavunjika Pengo limeshaazibwa Siwezi rudi tena kwako Ex pole, pole Nakupa pole Pole sana Hiyo imekula kwako Imeshaakula kwako dada Ex pole, pole Nakupa pole Pole sana Hiyo imekula kwako Imeshaakula kwako dada Ulinizamisha Kwenye kina kirefu Nikatapatapa kama mfa maji Ukaniacha Wewe huna huruma Umefilisi mali zangu Ulipokopakopa na madeni yote Ukaniachia Namtuma njiwa Afikishe salamu Namtuma njiwa Afikishe ujumbe kwako Pale nilipodondoka Nilipata wakuniinua Akaridhika na vyangu Karidhika na kidogo changu Ananipaka marashi Siku hizi ninanukia Naogeshwa kwa mahaba Kwa mapovu ya kizanzibari Tena penzi liko trendi Haipiti siku sijapostiwa Ananiposti kwa madaha Kwa emoji za malavidavi Ex pole, pole Nakupa pole Pole sana Hiyo imekula kwako Imeshaakula kwako dada Ex pole, pole Nakupa pole Pole sana Hiyo imekula kwako Imeshaakula kwako dada
Sanatçı: C Mchezo
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:28
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
C Mchezo hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı