calvary ministries hakuna akuelewa şarkı sözleri

Unapigana vita peke Watu ambao wanakuona hawajui Kuna watu wanakutamani Kuona wewe ni vizuri Unakaa pale ulipoketi Unainamisha kichwa chako kwa mawazo Wakati kuna jambo la kuchekesha haucheki Kwa sababu unapigana vita moyoni Hakuna akuelewa Hakuna atakayekuelewa Isipokuwa Mungu wako Ukimfanya mpiganaji wako Dunia Hata kama hakuelewi Unajaribu kujifanya Lakini watu hawawezi kukuelewa Kuna wakati itakuwa kali uko wapi Vita kisha huongezeka Unatamani kupata mahali pa kupumzika Na kutumia muda mbali na watu Hata ukiwaacha vita haimalizi Bado juu ya moyo umeungua Unabeba mengi ndani Baadhi yao yanavunja moyo Kuna watu wengine wanapigana nawe Wakati hata hauna uhalifu Shida unazopitia Watu wengi hawajui Mungu aliyekuumba anajua Yuko hapo kupigana kando yako
Sanatçı: Calvary Ministries
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:54
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Calvary Ministries hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı