calvary ministries ujio wa yesu şarkı sözleri

Alisema mwenyewe ya kwamba atarudi Kuja kuchukua wateule Waloshinda dhiki na taabu za dunia Watakenda naye juu mbigunguni Kila jicho litamwana bwana akirudi Hata wale walio mchoma Muda upo Fanya matengenezo Mpendwa Yesu Yu karibu mlagoni Anakuja Yu karibu Kuchukua wateule Kwendo nao juu mbinguni kutawale yuaja Wito kwako Leo jiandae Acha dhambi Tumlaki Bwana Yesu Mawinguni. Mutukio yanayotokea hivi leo Yaonyesha Bwana Yu karibu Alisema tuonapo hayo yatukia Tutambue Mwisho ukaribu Heri wale wanaolisoma Neno lake Na wale wanaolisikia NaKutenda sawa sawa na Mapenzi yake Kwao itakuwa ni furaha.
Sanatçı: Calvary Ministries
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:10
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Calvary Ministries hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı