cedz imagination & theuri & jairoh stan pressure şarkı sözleri
Ati wise men walisema, ipo siku hawa vijana wataungana
Wakati ni sasa sisi kama vijana bana tushaungana
Tuko ready, kupigana na wowote uhasama
Kuhakikisha mipango yote mbovu joh lazima itazama
Give Caesar what belongs to Caesar, though hajali kama anatuumiza
Akijaribu ati kutimiza mipango yake akitukimbiza aaaah
Kutuchoresha giza uongo mingi ndio anaagiza
Mr. lies tushambatiza na sasa nchi ndio tunasafisha
Number one, usiongeze taxes
Juu kwa sahii zimekuwa excess
Mashamba twataka kuown hatutaki hiyo riba ya kuaccess
Number two nayo ni ya mapuppets, tuliochagua ndio wakuimpress
Miaka tano yazidi kupungua tuko ready kama the masses
Tunaleta pressure
Mpaka siku gani mtazidi kututesa
Wakicruise around na matire full pressure
Na foot bill mpya ati uchaguzi mpya
Hatueseki tena
Tunaleta pressure
Tushaamua kujisimamia hatuogopi
Tushaamua kujiupigania na hatutoroki
Tushaamua kujipigania na hatujichochi
Tushaamua na hatuogopi
Tushaamua na hatutoroki
Tushaamua kujisimamia hatuogopi
Tushaamua kujiupigania na hatutoroki
Tushaamua kujipigania na hatujichochi
Tushaamua na hatuogopi
Tushaamua na hatutoroki
Walisell dreams before elections
Waliconceal na vanity
Wakaclose deals behind the doors
Wakiopress majority
Hii si mess ni insanity
Mayouth wamecheki reality
Mr. Speaker kaa unaskiza hii ndio voice ya majority
Walituona minority wakiimpose mapolicy
Iliwabaki monopoly, shh! walijenga mapolisi
Utumishi kwa wote, ila sasa twashikwa vyovyote
Wakifinya wanyonge funds wakule washibe wanone
Tunaleta pressure
Mpaka siku gani mtazidi kututesa
Wakicruise around na matire full pressure
Na foot bill mpya ati uchaguzi mpya
Hatuteseki tena
Tunaleta pressure
Tushaamua kujisimamia hatuogopi
Tushaamua kujiupigania hatutoroki
Tushaamua kujipigania na hatujichochi
Tushaamua na hatuogopi
Tushaamua na hatutoroki
Tushaamua kujisimamia hatuogopi
Tushaamua kujiupigania hatutoroki
Tushaamua kujipigania na hatujichochi
Tushaamua na hatuogopi
Tushaamua na hatutoroki