cedz imagination money maker (feat. 3rdiwitness & jeff deh) şarkı sözleri
Form nikugrind hadi tukule na sinia
Penye nia pana njia lakini journey si ya near
Ni za mathao si za mia, Mistari ni kama spear
Kinahodha nawasteer, Tukieenda kilami na switch lanes ki Gary Peer
Kupeana barz ni kama bottles za beer sikia
Nachapa lines kiboko nikiwasambazia
Hata wafulize hawawezi kukaribia, Reba zao nikubonga
Point is hawajapitia
Safari ikikam bila suffering, jua si ya kufunza
Kushinda ukiteta vile hujashinda we ndio loser
Poteza ATT pay attention, kwa kazi ni wazi
Kipaji hujipa japo ukiikuza
Hakuna cha bure tu, chema cha jiuza
Tafakari ya babu life ni tough ukiipuuza
Weka tizi ikitazamwa itatuzwa
3rdIWitness washakuzwa na shuhuda
Acha katambe, acha kabambe
Nataka hizo pesa nataka hizo ganji
Money 'pomi brain, usiulize ni aje
Na spit kama nyoka, sema joh ni kipaji
Underground rappers tuko chini ya maji
Wafalme kwenye game na hatujavalishwa taji
Wanaringa sina wanadhani unawahitaji, Aah zi
Si ni hardcore sisi ni magwangi
Last year nilitaka kumake it this year
This year nacheki mbele, hakuna kucheki rear
Nina faith ya kuomoka yangu imekaribia
Tukirise juu, hakuna kudidimia
Wengi wetu tunafear ya kujiaminia
Na Imani tunawezaifanya hata mara mia
Kalamu karatasi ndio nimegharamia
Mistari zikakuja bila hata kufikiria
Na moyoni sina fear, Mali safi adisia
Akilini ninachora kile ninatarajia
Manifest kila kitu bila stress bana,
Tunamake it so big wametense bana
Got the money on my mind
Got the money on my mind
Got the money on my mind
Now I see it in my life, yeah
Got the money on my mind
Got the money on my mind
Got the money on my mind
Now I see it in my life
Acha katambe, acha kabambe
Nataka hizo pesa nataka hizo ganji
Money 'pomi brain, usiulize ni aje
Na spit kama nyoka, sema joh ni kipaji