cege wagacii wadhii wanalia şarkı sözleri
It's Wagacii
Wadhii wanalia manze nikubaya eeh-eeh
Sasa imebaki ni madeni na madebtors eeh-eeh
Wadhii wanalia manze nikubaya eeh-eeh
Sasa imebaki ni madeni na madebtors ooh-ooh-ooh
Gava, bei ya unga imepanda
Stress nazo zimepanda
Si ka vijana tunaelekea wapi
Na ajira imekua adimu, hakuna
Maisha imekua magumu
Bila janta hakuna kuajiliwa
Imekua ni shida, ooh-ooh-aah-eeh
Na the only source of income gava umefunga
Na hauoffi solution
Offer solution
Offer solution, uu-u-u-uu-u-uu
Wadhii wanalia manze nikubaya eeh-eeh
Sasa imebaki ni madeni na madebtors eeh-eeh
Wadhii wanalia manze nikubaya eeh-eeh
Sasa imebaki ni madeni na madebtors ooh-ooh-ooh
Sisi kama youtman tuko ready
Ukitupa janta tuko ready
Tuko ready, tuko ready, tuko ready, oh yeah eeh
Wadhii wanalia manze nikubaya eeh-eeh
Sasa imebaki ni madeni na madebtors eeh-eeh
Wadhii wanalia manze nikubaya eeh-eeh
Sasa imebaki ni madeni na madebtors ooh-ooh-ooh
Sisi tuko ready
Sisi tuko ready, ready
Gava aah-aah-aaah-iiii
Wadhii wanalia
Mmmmmh, mmh, mmmh