ceylor dollar leo şarkı sözleri
Mdundo logo
Search
Mida inakwenda saa inayeyuka
Mara mchana mara jioni heih.kumepambazuka
Ni miayo na vichomi what..bado sijainuka
Japo hisia zina-proove kuwa nitawakilisha
Daily Jahova is on my way man feeling Whole over
Sync head mind ila Satan ndo ametakeover
Mbish Nina-struggle sasa negativity over
Jioni kibaridi unkuta nimetupia pullover
Baba bonus Kali baba Jah Mungu anabless
Ndo vile wanga Chali mwanangu sifa wepes
Ki-jordan Kama mbele my bloodies hawajawai ku-left
Toka null wuuuh mpaka sasa alternat set
Ushindi wangu current time naona unaji-generate
Vile street nachafua kaka jasho lina-sweat
Huwa nawasih wanangu never loose a concentrate
Always fight better nigaz tu-elevate kwenye best
Sijui kuvimba mana Sina muda
Ila nipo race niga nazichanga miee
Namwomba mungu situmii ndumba
Sikai na wakuda ndo
Najitafuta mie
Nachopata hicho hicho hicho leoooooooo
Hicho hicho leooooooooooo
Nashukuru hicho hicho
Hicho leooooooooo
Hicho hicho
Leoooooooooo
Nachopata hicho hicho hicho leoooooooo
Hicho hicho leooooooooooo
Nashukuru hicho hicho
Hicho leooooooooo
Hicho hicho
Leoooooooooo
Hakuna mmoja aliyenisikiliza nlipokuwa class
Na ndomana hata siku moja mtu Chizi sikupewa nafasi
Eti sisomi na school naendekeza tuu ubishoo
Na unakuta still mziki unasema.njooo
Wanadammu sio wema kwenye vyaooo
Napigika namba nazisoma kweny ubaooo
Nadaka kidogo ila na-enjoy
Still on challenges haters wakidhani sitoboi
Nguvu zangu zinanilipa nafurahi
Sijajikopesha pesa sa kivipi nijidai yea
Shut out Kwa wanaotoa big-up
Naskiza wakubwa wakiongea nakuwa shut-up
Ustaarabu unanifuata oh Magically
Incase I drug I don't enjoy it I get headache
Nta-dead na gun et nateseka Internet
And also keeping on believing saint that
Jah bless
Chorus