chaerin kim rendezvous: swahili şarkı sözleri

Sasa nakuacha uende Nilikutunza moyoni mwangu Nivigumu sana, ni unchungu mno Lakini, nakuacha uende Nilikupenda wewe pekee, nikakungoja, lakini sasa, nakuacha uende zako Tulikutana jana Kwa ndoto yangu, ulinijia na mapenzi, machozi yakikutoka ukasema Ulinipenda?ulitaka kuniacha?Uliningojea Nilitamani kuwa karibu nawe Naomba usiniache Sijui kama unanikumba. Ulichukua mapenzi yangu yote. Nisawa, haukujua nakupenda Sasa, naota ndoto za furaha, na achana na uchungu, nimejawa na furaha Ulinipenda kwasababu ya mpenzi wako. Lakini, nakupenda hata zaidi Nitakulinda daima, sitakuacha kamwe Thamani langu, penzi langu Niambie tutakua pamoja milele Ni amini mimi Shikilia mkono wangu Usiachanishe mikono yetu
Sanatçı: Chaerin Kim
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:55
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Chaerin Kim hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı