daada i'll see you şarkı sözleri

Nikiangalia anga Naliona tabasam Jua likizama I feel you in my heart Sauti ya mawimbi Vile kama unanihug Naona uso wako nikiona jua Upendo wako Umeishi na mimi siku zote Furaha yangu Mi ni kuamini tutakuwa wote I say goodbye I say goodbye I say goodbye but I know I'll see you I say goodbye I say goodbye I say goodbye but I know I'll see you Hii ni barua kipepeo wangu Haya maua kwa upendo wangu Uliacha jeraha sasa nimepona Na siku moja nahisi nitakuona Upendo wako Umeishi na mimi siku zote Furaha yangu Mi ni kuamini tutakuwa wote I say goodbye I say goodbye I say goodbye but I know I'll see you I say goodbye I say goodbye I say goodbye but I know I'll see you
Sanatçı: Daada
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:08
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daada hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı