daddy cham haujawahi şarkı sözleri

Nyie makolo HAMJAWAHI kusema ukweli kila siku mnaLie You gat to know HAMJAWAHI mkishoboka sisi tunawapa Dry HAMJAWAHI kuwa faster mko slow HAMJAWAHI ata kubounce na kuball HAMJAWAHI ata kuzisaka doo HAMJAWAHI shinda ata kupata draw HAMJAWAHI HAMJAWAHI HAMJAWAHI Kusema ukweli kila siku mnaLie Mkishoboka sisi tunawapa Dry Wanakubali na wenyewe hawakatai Fanya kushtuka shtuka labda unaota Ulishaishi milembe na ukatoroka Umeshakula madawa pia ushamoka Unaongea mwenyewe na kuropoka Haujawahi kusex kila mara unajiMasturbate Haujawahi kuflex so haujawahi kucelebrate Haujawahi kula kila siku unaliwa ukibet Uko zig zag yani haujawahi kuwa straight Haujawahi kuwa better wala great Haujawahi ata doo kuziMAKE You aint real kila kitu unaFake Mpaka ukichana uwa na msikia Drake HAMJAWAHI kuwa faster mko slow HAMJAWAHI ata kubounce na kuball HAMJAWAHI ata kuzisaka doo HAMJAWAHI shinda ata kupata draw HAMJAWAHI HAMJAWAHI HAMJAWAHI Kusema ukweli kila siku mnaLie Mkishoboka sisi tunawapa Dry Wanakubali na wenyewe hawakatai Kwenye misiba na sherehe haujawahi kutoa mchango Unajiita DON na kabisa hunajambo Haujawahi kuwa genius -Kichwa Tango Wakukurupuka haujawahi kuwa humble Unajiita mnyama na hujui kuhusu jungle Uwezo upo down yani chini ya kiwango Maneno kibao ka tangazo kwenye bango Unyamwezi mwingi na-haujawahi kuvuka ng'ambo Golini kindoki umekutana na Messi Unajifanya star we ndo komando kipensi Daily unapambana hujawahi kuniIMPRESS Unawekewa biti la kuchana unadance
Sanatçı: Daddy Cham
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:54
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daddy Cham hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı