daddy cham kariakoo şarkı sözleri

Karia karia karia KARIAKOO Karia karia karia karia! karia karia KARIAKOO Karia karia karia KARIAKOO Karia karia karia karia! karia karia KARIAKOO Be humble huku watu hawakurupuki Allikuja kununua suti chaajabu kauziwa chupi (Kariakoo) Hii ni laki O.G bei haishuki kanunua simu kufika nyumbani kufungua kumbe biskuti (Kariakoo) Kariakoo ni ndo chama la masela (Kariakoo) Mpera mpera macho kwenye hela (Kariakoo) Hewani inapepea kwa bendera (Kariakoo) Imeppeleka wengi huko jera (Kariakoo) Karia karia karia KARIAKOO Karia karia karia karia! karia karia KARIAKOO Karia karia karia KARIAKOO Karia karia karia karia! karia karia KARIAKOO Maajabu Nimeona mpaka nkashtuka mizigo ya kubebwa na Lori huku inasukumwa kwenye gutakariakoo Mungu wangu hivi sasa ndio nasanuka sina simu Wala sina wallet na kibaka muda kasharuka Kariakoo mishe mishe tunafight na misoto Jichanganye kichwa kichwa uziwee tuh midosho Dream chasers hatuchoki huku kukimbiza ndoto Simba -Yanga derby letu huku linawasha moto KARIAKOO Kariakoo ni ndo chama la masela (Kariakoo) Mpera mpera macho kwenye hela (Kariakoo) Hewani inapepea kwa bendera (Kariakoo) Imeppeleka wengi huko jera (Kariakoo) Karia karia karia KARIAKOO Karia karia karia karia! karia karia KARIAKOO Karia karia karia KARIAKOO Karia karia karia karia! karia karia KARIAKOO
Sanatçı: Daddy Cham
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:02
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daddy Cham hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı