daddy cham mimina şarkı sözleri

Mimina! mimina Leta tungi mimina Leo ni mwendo wakuwaka Na kuzima mimina Mabaharia toka buza tupo tunamimina Mimina Mimina Mimina Mimina Mimina Mimina Mpaka morning trumpet kokoliko Ni tungi juu ya tungi utadhani mafuliko Tunadondosha gambe mwanzo mwisho Tukishawaka hapa ni kuruka tu madisco Turn up turn up Hennessy Miminaah Nyagi Miminaah Vant Miminaah!! Ulanzi Miminaah Mpaka gongo Shusha vyombo Leo ndio leo tunaliamsha popo Hennessy Miminaah Nyagi Miminaah Vant Miminaah!! Ulanzi Miminaah Mpaka gongo Shusha vyombo Leo ndio leo tunaliamsha popo Tumeshawaka kifuatacho ni kulipuka Nayumba yumba acheni niegemee ukuta Waliozima kwao wapelekwe na guta Waita waita toa chupa weka chupa Eeeh Tuna ball ball Leta more more Usikae kizembe njoo tumimine vyombo Leo ni show show Ya mapopo Sio kinyonge huku ni moto juu ya moto Yeah Yeah Nyonga Washa Tungi Bapa Kunywa waka LEO MPAKA MAJOGOO Kula Bata!! Fanya fasta Toto kamata Eeeh Mimina Mimina Leta tungi mimina Leo ni mwendo wakuwaka Na kuzima mimina Mabaharia toka buza tupo tunamimina Wakishuwa wauswazi wote tunamiminaa Mimina Mimina Leta tungi mimina Leo ni mwendo wakuwaka Na kuzima mimina Mabaharia toka buza tupo tunamimina Wakudanga wavitonga wote wana mimina Hennessy Miminaah Nyagi Miminaah Vant Miminaah!! Ulanzi Miminaah Mpaka gongo Shusha vyombo Leo ndio leo tunaliamsha popo Usikae kizembe bila ya kinywaji leo ni mwenda wa kuball piga ata glass moja TunaVibe tunapandisha midadi kichwani maruweruwe utasema tumerogwa Mimina iwe soda au nyagi arafu kifuatacho ni macheers tu kugonga Mimina tu ata yakiwa maji ilimladi una drink we mimina ata tongwa Yeeh Mdodo mdogo slow we unamimina mimina eeeeh What you waiting for mimina mimina Eeeeh Oya anza tukumimina Mimina Mimina Leta tungi mimina Leo ni mwendo wakuwaka Na kuzima mimina Mabaharia toka Chuga tupo tunamimina Wakishuwa wauswazi wote tunamiminaa Mimina Mimina Leta tungi mimina Leo ni mwendo wakuwaka Na kuzima mimina Mabaharia toka buza tupo tunamimina Wakudanga wavitonga wote wana mimina Kokoliko Ni tungi juu ya tungi utazani mafuliko Tunadondosha gambe mwanzo mwisho Tukishawaka hapa ni kuruka tu madisco
Sanatçı: Daddy Cham
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:55
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daddy Cham hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı