daddy cham nipeni vibe şarkı sözleri

Asubuhi, mchana mpaka usiku sipati usingizi Hautokosea ukiniita kichaa ama chizi Maana nishadata sijisomi tena siku hizi Kama umeme uwa nawaka ghafla na kusizi Na kwenye game ni kisanga navyobreak news Kama milembe inakuwa uwa nikiwa booth MaInstrumental yakikita yananiconfuse Nishachizika kwenye brain zinimekata fuse Makorokocho ndio tungo ambazo naziandika Na njaa kali ya kumeza mic mpaka spika Ile mizuka ya kimorani leo imeitika Juu ya midundo ile chafu mbaya natapika Oya wanangu nipeni VIBE Eeeeeh Nipeni VIBE Oooooh Nipeni VIBE Eeeeeh NIPENI Wahuni wangu nipeni VIBE Eeeeeh Nipeni VIBE Oooooh Nipeni VIBE Eeeeeh NIPENI Nipeni vibe nichotaka kushtuka Nipeni vibe ili niweze kunyanyuka Nipeni vibe maana stimu zimeshuka Nipeni vibe nipandishe hii mizuka Natoka chafu pozi chafu za jalala Najihisi nina rasta kumbe nina para Hiki kixungumkuti nipa msala Najihisi niko ulaya kumbe ni mbagala Nakimbia kumbe nanyata Dagaa naona ka papa Nimevurugwa nimedata Nyagi naona tuh fanta Mapicha picha maruwe ruwe kwenye medulla oblangata Sichezi na kiki nacheza na goli kama nyavu tuh na Samatta Hizi ni tata hii ni namba chafu Haina shobo haina kwere uwa sitaki upumbafu Mambo ni shanta mambo ni barida barafu Japo unga unga robo, mboga tembele Zetu si ni pesa madafu Na kiweruweru yani najihisi kama niko mental Yani kama beberu midadi kibao kichwa hakijaSettle Ni gaidi kutoka gheto nashinja kila Instrumental Niite jibaba lenye roho saba matozi hapa wanaSettle Kichwani namizuka yani na morale Na morale Nalenga mule mule za kijemadali Jemedal Na nyinyi misukule mkacheze mbali Cheze mbali Vocal zimeenda shule za masekondari Oya wanangu nipeni VIBE Eeeeeh Nipeni VIBE Oooooh Nipeni VIBE Eeeeeh NIPENI Wahuni wangu nipeni VIBE Eeeeeh Nipeni VIBE Oooooh Nipeni VIBE Eeeeeh NIPENI Nipeni vibe nichotaka kushtuka Nipeni vibe ili niweze kunyanyuka Nipeni vibe maana stimu zimeshuka Nipeni vibe nipandishe hii mizuka
Sanatçı: Daddy Cham
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:11
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daddy Cham hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı