daddy cham vimba (feat. magaflow) şarkı sözleri

Vimba Vimba Vimba Vimba Vimba Mpigie simu yule mwamba mwambie huku kumeshabamba Watu tunavimbaa Wakubwa tumeshatia nanga madogo wanaachia nanga Watu tunavimba kama puto Pesa mingi mingi kwa mifuko Navimba na kimwali mchepuko Sikupingi we ndo zee la milupo Napenda vile uno unavyoliRotate Napenda vile ambaavyo unaconcerntrate Ukiwa unadance mpaka unasweat You make it wet Vimba Oya wanangu - Vimba Masista du - Vimba Mabrother men - Vimba Mpaka wahuni - Vimba Ata kama umekuja kwa guta Vimba Huku kimewaka kimenuka Vimba Ata kama pamba hujanyuka Vimba Ni mwendo wa kubounce na kuruka Vimba Muhamara umesoma acha nivimbe ukiweza ujiachie na mimi Huku kimenuka acha tuwake shida kibao tusifurahi kwanini Achana na madela au vitenge leo nataka utupie kimini Ela iwe ya kubet au kupewa kama ni yangu we inakuhusu nini? Nataka nione uno unavyoliRotate Napenda vile ambaavyo unaconcerntrate Ukiwa unadance mpaka unaSweat You make it wet Vimba Oya wanangu - Vimba Masista du - Vimba Mabrother men - Vimba Mpaka wahuni - Vimba Ata kama umekuja kwa Guta Vimba Huku kimewaka kimenuka Vimba Ata kama pamba hujanyuka Vimba Ni mwendo wa kubounce na kuruka Vimba
Sanatçı: Daddy Cham
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:24
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daddy Cham hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı