daddy sean kimbia mbio şarkı sözleri

Its your boy B O I S L double E BoiSlee in the one and three, Got my nigga Daddy Sean in this shit, Asa mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia... Aah!! I got bars You got bars He got bars, I got money You got money He got money, We living a life where people only want money, We work to get money we work for the money, The people in the Underground they be so Hustling, Hakuna kitu kirahisi magumashi mingi, Kiki na Wizi vimetawala kichizi ndomana sisi wa chini twaminywa chini kwa chini, Nami nataka kuwa rich, niwe napata vizuri, Jana kapata, Huyu kapata, Yule kapata Why not me, Niwe navuta mimoney, Uvimbaji mjini, Huyu anagari, Yule anagari, Minna gari Ferrari, Feeble-brains keep on doing whatever they want, The Bigger Brains keep on doing kuwa number one, They gonna hate you, Gonna break you, Gonna.. Joie de Vivre we gon' live it We gon', Slay 'em down. Mlikuwaga mwasema sana Sasa nione kitu gani venye nyinyi mwafanya, Nikajituma nikapigana Sasa nimedevelop bora zaidi ya jana. Mlikuwaga mwasema sana Sasa nione kitu gani venye nyinyi mwafanya, Nikajituma nikapigana Sasa nimedevelop bora zaidi ya jana. Venye mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio. Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia (Kimbia), Mbona mnakimbia mbio. Since day one kipindi minaanza hustle, Tizi tele ili nije nipate nice flow, Masnitch daily waliniponda nkiwa na earphone, Na street daily walinisema kwamba hawanisomi, Sikuwa na raha maneno yalinipa njaa, Kila nikichana wana wananishangaa, Wanasema niache mziki hautonifaa, Eti nitabaki underground kamwe sitong'aa, Na bado nakaza na bado nahanya kuchora siwezi stop, Kipindi nafanya mlinibana kamwe mi sichoki, Na mlinikanya nikapambana sasa hamnijoke, Na mlitukana nikanyamaza lakini siwaogopi, Kama namuona Mary, Kama namuona Rose, Kama namuona Annie Annie are you Ok No, I got money on my mind and my Swagg is on, Life iko very well call me Daddy Sean. Mlikuwaga mwasema sana Sasa nione kitu gani venye nyinyi mwafanya, Nikajituma nikapigana Sasa nimedevelop bora zaidi ya jana. Mlikuwaga mwasema sana Sasa nione kitu gani venye nyinyi mwafanya, Nikajituma nikapigana Sasa nimedevelop bora zaidi ya jana. Venye mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio. Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio mbona mnakimbia (Kimbia), Mbona mnakimbia mbio. Yeah! Imma Daddy Sean right here, With my nigga BoiSlee, El-Nino Music, Wahane. Yeeah!!
Sanatçı: Daddy Sean
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:27
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Daddy Sean hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı