daisy love nkirote bila wewe şarkı sözleri
Ongoza hatua zangu
Pote niendapo
Utakalo lifanyike
Ewe nuru ya njia yangu
Nifinyange ewe bwana
Niwe chombo chako
Naja mbele zako
Timiza kusudi lako kwangu
Siwezi bila wewe
Uwepo wangu ni wewe
Uhai bila wewe
Yote ubatili
Kama sio wewe
Ningekuwa wapi
Ningekuwa nani
Bila damu yako
Your love has lifted me
From the myrie clay
The reason why I sing today
Where would I be without your grace
Where would I be without your mercy
Wanitosha mimi
Wanitosha mimi
Siwezi bila wewe
Uwepo wangu ni wewe
Uhai bila wewe
Yote ubatili
Kama sio wewe
Ningekuwa wapi
Ningekuwa nani
Bila damu yako-o-o
Siwezi Bila we-e-e-e (mmmmh)
Siwezi Bila Wewe-e-e-e