daisy love nkirote nafsi yangu şarkı sözleri
Mungu wa ajabu
Umetenda makuu
Muumba wa vitu vyote
Pokea sifa zote
Mungu wa ajabu
Umetenda makuu
Muumba wa vitu vyote
Pokea sifa zote
Sisi wanawako twaja mbele zako
Nafsi yangu
Vyote vilivyo ndani
Vinakuhimidi
Jina lako takatifu
Mponaji wangu
Msamehe wa maovu
Umenifanya kitu kipya
Maker of the universe
Creator of earth and sky
You sent your son to earth
To take my place
Sisi wanawako (sisi wanawako) twaja mbele zako
Nafsi yangu
Vyote vilivyo ndani
Vinakuhimidi
Jina lako takatifu
Mponaji wangu
Msamehe wa maovu
Umenifanya kitu kipya
Nafsi yangu
Vyote vilivyo ndani
Vinakuhimidi
Jina lako takatifu
Mponaji wangu
Msamehe wa maovu
Umenifanya kitu kipya
Wewe ndiwe mfalme
Fadhili zako za milele
Wewe ndiwe mfalme
Fadhili zako za milele
Wewe ndiwe mfalme
Fadhili zako za milele
Wewe ndiwe mfalme
Fadhili zako za milele
Nafsi yangu
Vyote vilivyo ndani
Vinakuhimidi
Jina lako takatifu
Mponaji wangu
Msamehe wa maovu
Umenifanya kitu kipya
Nafsi yangu
Vyote vilivyo ndani
Vinakuhimidi
Jina lako takatifu
Mponaji wangu
Msamehe wa maovu
Umenifanya kitu kipya
Kitu kipya