dak music wazo (feat. shlm) şarkı sözleri
Nilipata wazo la maana
Eti mimi na wewe kumbe tunafaana
Na kila mara nikiamba uongo
Nilihisi uchungu ikinikuna
Nilikumbuka manukato mdomoni mwako
Eti strawberry
Hayanihusu lakini kwa nini mimi niko hivi
Oh mtima roho
Oh
Ole wako
Nina mawazo kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll
Nina mawazo kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll
Nina mawazo kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll
Nina mawazo kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll
Nina mawazo kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll
Nina mawazo kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll
Ziwezi
Ziwezi ni
Ziwezi
Kiza na kwazo
Ziwezi nicontroll