dala king bayoyo şarkı sözleri

Maneno tupu hayatoshi nikisema nakupenda We nomino kitenzi sentensi nimekwama Usinitoe mavazi muungwana kachutama Moyo ukafa ganzi mwili wote ukatetema aiiee Basi tucheze kidalipo,ukutiukuti toto totoo Penzi baridi bila joto,nahugwirane tototoo Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema Chaguo langu asilani usije nitemaa Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema Chaguo langu asilani usije nitemaa Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe Vile unajuwa,mimi si kisu butu nakata kama panga Mvua jua,namini nitadhubutu iwe hasi iwe chanya Naomba dua,iwe marufuku mi nae kuachana Sije potea nyota njema turufu gizani na mchana Ndo mana nakaza roho kila kukicha nasaka dooh Ongeza njonjo madoido,kisima na kata haitaji ndoo Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema Chaguo langu asilani usije nitemaa Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema Chaguo langu asilani usije nitemaa Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe Bolingo bayoyo,bolingo bayoyo Bolingo bayoyo ouh ouh oohh Bolingo bayoyo,bolingo bayoyo Bolingo bayoyo ouh ouh oohh
Sanatçı: DALA KING
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:06
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
DALA KING hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı