dala king haya (feat. adasa) şarkı sözleri

Hayaa haya,,naondoka nimechoka Hayaa haya,,maneno yako hayaishi kinywani Hayaa haya,,wewe me na wewe nimechoka Hayaa haya Sema kipi nilicho kosea,au siridhiki na nnacho pewa Kilema ambacho umenipa nisione tena mdomo ushindwe kuongea Kile kidogo changu,hali yangu vyote nlikwambia Usinishushe thamani,mahabani donda nkaugulia Ooh! Bebi,kama usiku wa jana kukesha kulumbana Ya nini jamani,eeh Penzi ni kupendana sio kugombana Kwa nini jamani,wewee Hayaa haya,,naondoka nimechoka Hayaa haya,,maneno yako hayaishi kinywani Hayaa haya,,wewe me na wewe nimechoka Hayaa haya Kweli we unanipenda kikweli,mana lawama hasiishi ni daily Oohh baba wewe,utanishinda miiee Kila kukicha vurugu siwezi,mie mbichi utanichubua ngozi Oohh baba wewe,utanishinda miiee Mbona,mbona mie mpweke kwenye ndoa yangu Lawama,lawama ndo mishale kwenye moyo wangu wowowo! Utaniua bure,me ni mke wa sheihk Najisitiri,na heshima ya mjini Nina damu ya mpare,kujitii ni halalii Najisitirii na heshima ya mjinii Hayaa haya,,naondoka nimechoka Hayaa haya,,maneno yako hayaishi kinywani Hayaa haya,,wewe me na wewe nimechoka Hayaa haya Hayaa haya,hayaa haya
Sanatçı: DALA KING
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:25
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
DALA KING hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı