dala king mimi nawewe şarkı sözleri

Nilisemwa mambo mengi yakuchafua ubongo Ili mimi kwako nionekane muongo Eti nikitoka tunapishana,nyuma marafiki zako ni wavulana Mara wanasema hatujaendana,mimi nakuona kama dodo Tena moyoni nishakupenda unajuwa,kichwani hayawani ukinitenda ntajiua Kwenye mvua kiangazi twapendezana,we ndo pacha tulio fanana Naamini hatuto tengana hayeee! Yanitume bana bana kama banana,leo yamezidi hata ya jana Kwa mapenzi teletele usiku na mchana,sasa kwa nini wanizengue eehh! Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua Mimi na we,mimi na we Mimi na we,mimi na we Mimi na we,mimi na we Mimi na we,mimi na wewe Yani wewe ndo changu kivulii,tena wewe ndo wangu mwavuli Kwenye mvua kali me unanisitiri unanisitiri Na kama we ndo gari basi me ndo msafiri msafiri Sasa tujitawanye anha! Ikibidi tuwachanganye anha! Mambo shwari yani ndo vyenye anha! Kila boda sisi tupenye anha! Kwenye mvua kiangazi twapendezana,we ndo pacha tulio fanana Naamini hatuto tengana hayeee! Yanitume bana bana kama banana,leo yamezidi hata ya jana Kwa mapenzi teletele usiku na mchana,sasa kwa nini wanizengue eehh! Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua Mimi na we,mimi na we Mimi na we,mimi na we Mimi na we,mimi na we Mimi na we,mimi na wewe
Sanatçı: DALA KING
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:41
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
DALA KING hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı